1
1. Kichwa - Head 2. Mdomo - Mouth 3. Ulimi - Tongue 4. Jino - Tooth 5. Gego - molar
Vichwa ( heads) Midomo (mouths) Ndimi (tongues) Meno (teeth) Magego
6. Mdomo - lip
Midomo/lips
7. Jicho - eye
Macho (eyes)
8. Sikio - ear
Masikio (ears)
9. Nywele - hair 10. Ndevu - beard 11. Pua - nose 12. Kope - eyelash 13. Nyusi - eyebrow 14. Mkono - arm/hand 15. Kiganja - palm
Nywele (hair) Ndevu (beard) Pua (nose) Kope - eyelashes nyusi = eyebrows Mikono (arms/hands) Viganja (palms)
16. Kidole - finger
Vidole (fingers)
17. Kucha - nail
Kucha (nails)
18. Bega - Shoulder 19. Ngozi - skin
Mabega (shoulders) Ngozi (skins)
20. Tumbo - abdomen/stomach 21. Kitovu - navel 22. Utumbo - intestine
Matumbo (stomachs)
Vitovu (navels) Matumbo (intestines)
23. Titi - breast
Matiti (breasts)
24. Kifua - chest
Vifua (chests)
25. Mbavu - rib
Mbavu (Ribs)
2
26. Paja - thigh
Mapaja (Thighs)
27. Mguu - leg
Miguu (legs)
28. Goti - knee
Magoti (knees)
29. Tako - buttock 30. Kisigino - heel
Matako (buttocks) Visigino (Heels)
RANGI - COLOURS 1. NYEUPE - White 2. NYEUSI - Black 3. NYEKUNDU - Red 4. BLUU - Blue 5. ZAMBARAU - Purple 6. KIJIVU - Grey 7. KAHAWIA - Brown (like coffee) 8. HUDHURUNGI- Yellowish-brown 9. KIJANI - Green 10. NJANO - Yellow 11. PINKI - Pink
3
FRUITS 1. Chungwa/Machungwa 2. Ndizi/Ndizi
- Orange/Oranges
- Banana/Bananas
3. Pera/Mapera
- Guava/Guavas
4. Papai/mapapai
- Payapaya
5. Danzi/Madanzi
- Bitter orange
6. Chenza/Machenza
- Tangerine/tangerines
7. Nanasi/Mananasi
_ pineapple/pineapples/ananas
8. Balungi
- Grapefruit
9. Forosadi
- Mulberry
10. Ukwaju
- tamarind
CARDINAL NUMBERS SIFURI/ZERO
0
MOJA
1
MBILI
2
TATU
3
NNE
4
TANO SITA
5 6
SABA
7
NANE
8
TISA
9
4
KUMI
10
SEHEMU - FRACTIONS AND DECIMALS NUSU
- Half (1/2)
ROBO
- Quarter (1/4)
THELUTHI
- One Third (1/3)
SUDUSU
- One Sixth (1/6)
THUMUNI
- One eigth (1/8)
ORDINAL NUMBERS Ya kwanza -
First
Ya Pili -
Second
Ya tatu
Third
Ya nne
Fourth
Ya tano
Fifth
Ya sita
Sixth
Ya saba
Seventh
Ya nane
Eighth
Ya tisa Ya kumi
Ninth Tenth
5
DAYS OF THE WEEK JUMAMOSI JUMAPILI
Saturday Sunday
JUMATATU
Monday
JUMANNE
Tuesday
JUMATANO ALHAMISI IJUMAA
Wednesday Thursday Friday
CELESTIAL BODIES JUA/Jua
Sun/Suns (also: Jua = know)
MWEZI/Miezi
Moon/Moons
SAYARI/Sayari
Planet/Planets
NYOTA/nyota
Star/Stars
DUNIA ULIMWENGU Chumvi (Salt)
Earth Universe Chumvi (Salt)
Simu (Telephone)
Simu (telephones)
Embe (Mango)
Embe (mangoes)
Sukari (Sugar) Maji (water) Meza (Table) Kaptura (Shorts)
Sukari (Sugar) Maji (water) Meza (tables) Kaptura (shorts)
6
Kalamu (pen)
Kalamu (pens)
Samaki (Fish)
Samaki (Fish)
N
N
Ndizi (banana)
Ndizi (bananas)
Nyumba (house)
Nyumba (Houses)
M
WA
Mwalimu (Teacher)
Walimu (Teachers)
Mwanafunzi (Student)
Wanafunzi (Students)
Mtu (person)
Watu (people)
Mtoto (Child)
Watoto (Children)
Msichana (girl)
Wasichana (Girls)
Mvulana (boy)
Wavulana (boys)
Mke (wife) Mme (husband)
Wake (wives) Waume (husbands)
Mwanamke (Woman) Bibi Bwana (Mister) M Muhogo (Cassava) Mti (Tree) Mtumbwi (boat)
Wanawake (women) Mabibi Mabwana ( MI Mihogo (Cassava) Miti (Trees) Mitumbwi (boats)
Mto (river/pillow)
Mito (rivers/pillows)
Mfuko (bag)
Mifuko (bags)
Mkono (Arm/hand)
Mikono (arms/hands)
7
KI
VI
Kisu (Knife)
Visu (Knives)
Kito (Jewel)
Vito (Jewels)
Kitu (thing)
Vitu (things)
Kiatu (Shoe)
Viatu (Shoes)
Kiazi (Yam/potato)
Viazi (Yams/potatoes)
Kikombe (Cup)
Vikombe (Cups)
Kitabu (book)
Vitabu (books)
Kitana (comb)
Vitana (Combs)
Kitanda (Bed)
Vitanda (beds)
Kichwa (Head)
Vichwa (Heads)
Kidole (finger)
Vidole (fingers)
Kijana (youth)
Vijana (youths)
Kiti (chair)
Viti (Chairs)
?
MA
Daftari (note/exercise book) Madaftari (exercise books) Pipa (barrel)
Mapipa (barrels)
Godoro (mattress) Sanduku
Magodoro (barrels)
(suitcase/box)
Masanduku
(Suitcases/boxes) Shati (shirt) Kabati (Cupboard)
Mashati (shirts) Makabati (Cupboards)
8
Gari (car)
magari (cars)
basi (bus)
mabasi (buses)
Sikio (ear)
Masikio (ears)
Jicho (eye)
Macho (eyes)
Ziwa (lake)
Maziwa (lakes)
Ziwa (breast) Titi (Breast)
Maziwa (Breasts) Matiti (breasts)
CH
VY
Chakula (food)
Vyakula (foods)
Chandarua (Mosquito net)
Vyandarua (Mosquito nets)
Chombo (Vessel)
Vyombo (Vessels)
Chanuo (comb)
Vyanuo (combs)
Chumba (room)
Vyumba (rooms)
Choo (latrine/toilet)
Vyoo (latrines/toilets)
Chuo (College)
Vyuo (Colleges)
Chetu (ours)
Vyetu (Ours)
Chao (theirs)
Vyao (theirs)
They = wao You = wewe MIFANO ZAIDI = FURTHER EXAMPLES: PAST TENSE : The verb PIKA = cook
9
Kassim alipika = Kassim cooked Kassim na Mohammed walipika = Kassim and Mohammed cooked They cooked = walipika I cooked rice = [Mimi] nilipika wali We cooked rice = [sisi] tulipika wali You cooked rice = Wewe ulipika wali (singular) You cooked rice = Nyinyi mlipika wali (plural)
PAST TENSE: The verb SOMA = read/learn Kassim alisoma = Kassim read Kassim na Mohammed walisoma = Kassim and Mohammed read They read = walisoma I read = Mimi nilisoma We read = sisi tulisoma You read = Wewe ulisoma (singular) You read = Nyinyi mlisoma (plural)
10
PAST TENSE: The verb ENDA = go Kassim alienda = Kassim went Kassim na Mohammed walienda = Kassim and Mohammed went They went = walienda I went = Mimi nilienda We went = sisi tulienda You went = Wewe ulienda (singular) You went = Nyinyi mlienda (plural) Up to Menu
FUTURE TENSE: The verb PIKA = cook Kassim atapika = Kassim will cook Kassim na Mohammed watapika = Kassim and Mohammed will cook They will cook = watapika I will cook rice = Mimi nitapika wali We will cook rice = sisi tutapika wali You will cook rice = Wewe utapika wali (singular) You will cook rice = Nyinyi mtapika wali (plural)
11
FUTURE TENSE: The verb SOMA = read/learn Kassim atasoma = Kassim will read Kassim na Mohammed watasoma = Kassim and Mohammed will read They will read = watasoma I will read = Mimi nitasoma We will read = sisi tutasoma You will read = Wewe utasoma (singular) You will read = Nyinyi mtasoma (plural)
FUTURE TENSE: The verb ENDA = go Kassim ataenda = Kassim will go Kassim na Mohammed wataenda = Kassim and Mohammed will go They will go = wataenda I will go = Mimi nitaenda
12
We will go = sisi tutaenda You will go = Wewe utaenda (singular) You will go = Nyinyi mtaenda (plural) Up to Menu
PRESENT TENSE: The verb PIKA = cook Kassim anapika = Kassim cooks Kassim na Mohammed wanapika = Kassim and Mohammed cook They cook = wanapika I cook rice = Mimi ninapika wali We cook rice = sisi tunapika wali You cook rice = Wewe unapika wali (singular) You cook rice = Nyinyi mnapika wali (plural)
PRESENT TENSE: The verb SOMA = read/learn Kassim anasoma = Kassim reads Kassim na Mohammed wanasoma = Kassim and Mohammed read
13
They read = wanasoma I read = Mimi ninasoma We read = sisi tunasoma You read = Wewe unasoma (singular) You read = Nyinyi mnasoma (plural)
PRESENT TENSE: The verb ENDA = go Kassim anaenda = Kassim goes Kassim na Mohammed wanaenda = Kassim and Mohammed go They go = wanaenda I go = Mimi ninaenda We go = sisi tunaenda You go = Wewe unaenda (singular) You go = Nyinyi mnaenda (plural) Up to Menu
14
SOME
EXPLANATORY
NOTES
ON
TENSES
AND
SENTENSE/PHRASE CONSTRUCTION IMPORTANT THINGS TO NOTE: TENSE PREFIXES; SUBJECT PREFIXES TENSE PREFIX PAST
=> li
FUTURE
=> ta
PRESENT
=> na
SUBJECT PREFIX + TENSE PREFIX SUBJECT PREFIX a wa
PAST/FUTURE/PRESENT ali/ata/ana wali/wata/wana
ni
nili/nita/nina
tu
tuli/tuta/tuna
u m SOME QUESTIONS AND ANSWERS: KASSIM ANAFANYA NINI?
What is Kassim doing?
KASSIM ANAPIKA KASSIM ALIFANYA NINI?
What did Kassim do?
15
KASSIM ALIPIKA KASSIM ATAFANYA NINI? KASSIM ATAPIKA
What will Kassim do?