Refugee Tenancy Training Kit Swahili

  • August 2019
  • PDF

This document was uploaded by user and they confirmed that they have the permission to share it. If you are author or own the copyright of this book, please report to us by using this DMCA report form. Report DMCA


Overview

Download & View Refugee Tenancy Training Kit Swahili as PDF for free.

More details

  • Words: 6,491
  • Pages: 32
Ufunguo wa Mlango Wako. . .

‘Ufunguo wa Mlango Wako. . .’

Imedhaminiwa na . . .

Mwongozo wa Upangaji Mzuri. . .

Kuwasaidia jamii za wakimbizi kuelewa ‘upangaji wa kukodisha’

64 Iliyodhaminiwa na Utawala wa Makaazi ya Upangaji (RTA), Shirika la Unganisho wa Makao na Usaidizi na Huduma za Ufikiaji.

Fomu ya Ukarabati na Utunzaji

Utangulizi

(Weka) √ Ikiwa unahitaji ukarabati wa ...

Kijitabu hiki kimeundwa ili kuwasaidia wanachama wa jamii mbalimbali zinazoibuka kwa kitamaduni na kwa kisimu (CALD) katika maeneo ya Pwani mwa Logan/ Gold. kinalenga kuwasaidia kufahamu haki na majukumu ya upangaji wa kukodisha. Kimedhaminiwa na Utawala wa Makaazi ya Upangaji ya Queensland (RTA) kupitia Elimu ya Jamii yao Mpango wa Ruzuku ya Umma, Shirika la Unganisho wa Makao na Usaidizi na Huduma za Ufikiaji, uchunguzi wa kijitabu hiki ulikuwa kupata ufahamu wa kwanza kuhusu masuala ya KWELI ambayo jamii za CALD hupitia wakati wa kukodisha nyumba. Mradi huu ulisimamiwa na Shirika la Unganisho wa Makao na Usaidizi. Tumeshukuru sana kwa usaidizi kutoka kwa jamii sita za wakimbizi kati ya maeneo ya Pwani mwa Logan/Gold wakati wa mradi huu wote; habari muhimu zilizopatikana kupitia mazungumzo, vidadisi na vikundi vya kuzingatia, ambazo zilisaidia kuunda kijitabu hiki - habari ambayo nia yake ni kuelimisha na kuwatia nguvu jamii za CALD, na wazo la kuathiri vizuri jamii zote mara moja na kwa upana. Kanusho Toleo hili ni mwongozo uliorahisishwa wa Sheria ya Queensland ya kukodisha. Siyo taarifa kamili ya sheria. Unahimizwa kupata usaidizi ikiwa huna uhakika jinsi sheria hizi zinatumika katika hali yako. Habari zilizojumuishwa zilikuwa sahihi wakati wa kuchapishwa na zinaweza kutumiwa na mashirika yanayofaa yanayofanya kazi kati ya jamii za CALD. Hata hivyo, Mashirika yanayotaka kutoa tena au kubadilisha hati hii kwa njia yeyote ile yanapaswa kuwasiliana kwanza na Utawala wa Unganisho na Makaazi ya Upangaji kwa idhini. 2

Mfereji

Bafu ya manyunyu

Maji Moto

Mwangaza wa Paa

jiko/meko

Choo

Mlango

Paa

Glopu ya mwangaza

Kifuli

Dirisha

mtambo/sehemu ya

RIPOTI UKARABATI: Miezi 0-6 – Interlink: 3808 2206 AU 0419 794 391 Miezi 6 na kuendelea – mpangishaji/ajenti au piga simu63 kwa nambari zilizoodhoreshwa kwa Makubaliano yako ya kukodisha

Faharasa

Inaendelea: Mashirika Muhimu ya kujua . . .



Multilink



Tenancy Advice & Advocacy Service (TAAS) Logan

3808 4463

Utangulizi………………………………………………….....2 Faharasa……………………………………………..………3 Shukrani……………………………………………….……..4 Kikundi……………………………………………………..…5

Sehemu ya 1









Habari muhimu ya Kupata mahali pa kukodisha

38261598

Tenancy Advice & Advocacy Service (TAAS) Gold Coast Eneo mbili za huduma: Southport Palm Beach

5591 1102 5598 3230

Tenants Union Queensland (TUQ) Nje ya Brisbane Eneo la Brisbane

1800 177 761 3257 1108

Translating & Interpreting Services (TIS) Residential Tenancies Authority

Unapowasili kwanza………………………………………...7 Kukodisha kutoka kwa Unganisho………………….……..8 Kukodisha katika Queensland—sheria za kukodisha.….9 Kukodisha katika Queensland – Haki na Majukumu…...10 Mahali unapoweza kupata nyumba mpya ya kukodisha.11 Kuomba nyumba mpya ya kukodisha...………………….12

Sehemu ya 2 Habari Muhimu kwa Upangaji Mzuri Kuanza upangaji………………………………….….…...15-17 Kulipa kodi………………………………………….…..….18-19 Ukarabati na utunzaji……………………………......…...20-25 Utunzaji wa nyumba yako ndani na nje…………..…....26-34 Uchunguzi wa nyumba………………………………..…35-37 Shida unazowezapata wakati wa upangaji…………... 38-40 Barua na mawasiliano………………………………….. 41-42

Sehemu ya 3 131 450

Vidokezo vingine vya kukodisha na kuishi kwa nyumba nchini Australia

1300 366 311

Usalama ndani ya nyumba…………………………….. 44-46 Bili za kaya…...…………..………………………………….48 Vizuizi vya maji ni muhimu…….….……………………….49

Sehemu ya 4 Maneno muhimu ya kuelewa

62

Mwanzo wa upangaji…………………………………….52-52 Wakati wa upangaji………………………………………53-54 Kama unashida na upangaji……………………………….55 Mwisho wa upangaji………………………………………..56 3 Vitu vingine muhimu vya kufahamu……………….57 Mashirika muhimu ya kujua………………………...…..59-62

Mashirika Muhimu ya kujua . . . Jinsi ya kuwasiliana nao (Logan/Gold Coast)

Shukrani Tungependa kushukuru mashirika yafuatayo kwa usaidizi wao – kijitabu hiki hakingewezekana bila hao:



Residential Tenancies Authority (RTA) — (Utawala wa Makaazi ya Upangaji)



Acces Services Inc.— (Shirika la Huduma za Ufikiaji)



BCA’s (Bilingual Community Assistants) — (Msaada wa Jamii ya Lugha mbili)



Multicultural Families Organisation — (Shirika la Familia za Tamaduni mbalimbali)



Tenant’s Union of Queensland — (Umoja wa Wapangaji wa Queensland)



Multicultural Development Association — (Shirika la Maendeleo ya Tamaduni mbalimbali)



Youth Family Services — (Huduma za Vijana wa Familia)



Anglicare Refugee and Migrant Services (ARMS) — (Huduma za Utunzi wa Wakimbizi na Uhamiaji (ARMS))



Elder’s Real Estate Woodridge & others — (Shamba la Wazee wa Woodridge na zingine) 4



Acces Services Inc.

3808 9299



Department of Housing Logan

3884 9800



Department of Housing Gold Coast

5583 2200



Gold Coast Housing Company

5528 6650



Interlink Housing & Support Association Inc.

3808 2206



Multicultural Families Organisation (MFO)

5571 0381

61

Kikundi

Inaendelea: Mashirika Muhimu ya kujua ... Wanachofanya ……

Timu hiyo ilijumuisha watu kutoka tamaduni mbalimbali ambao walitoa ustadi maalum ambao uliboresha utengenezaji wa ‘Ufunguo wa Mlango wako: Mwongozo wa Upangaji Mzuri.’

Translation and Interpreting Service (TIS) Huduma ya kuwasaidia wapangaji kuelewa habari katika lugha yao

Washirika wa kikundi walijumuisha:

Department of Housing

- Sue Boothroyd (Mpangaji wa Mradi)

Nyumba za serikali kwa watu wenye mapato ya chini

- Jenny Schultz (Meneja wa Mradi) - Anne Siakisini (IHSS Mfanyakazi wa Malazi)

Brisbane Housing Company

Shukrani maalum kwa:

Nyumba za serikali kwa watu wenye mapato ya chini

Interlink Housing & Support Association Inc. Hutoa usaidizi, na nyumba za bei ya chini kwa watu wenye mapato ya chini

60



Valentina Dimoska—Jamii Kuu Afisa wa Elimu (Rental Tenancies Authority)



BCA’s (Bilingual Community Assistants) kwa jamii ya Wabamisi, warundi, Waafrika, Wasomali, Waafgani na jamii ya Wasudanisi



Sylvia Vallender— Michoro



David Browning— Msaada wa ushauri na ufundi

5

Mashirika Muhimu ya kujua . . . Wanachofanya . . . Residential Tenancy Authority (RTA) RTA huakikisha kwamba mpangaji na mpangishaji wanaelewa na kufuata sheria za sheria ya 1994 ya Makaazi ya Upangaji kwa kutoa habari kuhusu sheria za kukodisha na uwekaji mzuri wa bondi ya kila mpangaji

Sehemu ya 1 Habari Muhimu ya kupata mahali pa kukodisha. ⇒ ⇒ ⇒







Small Claims Tribunal (SCT) ⇒



Unapowasili kwanza Kukodisha kutoka kwa Unganisho Kukodisha kutoka Queensland — Sheria za kukodisha Kukodisha katika Queensland — Haki na Majukumu Mahali unapoweza kupata nyumba mpya ya kukodisha Kuomba nyumba mpya ya kukodisha

Centrelink ⇒

Chombo cha serikali ambacho hutoa pesa ya kuwasaidia wasiokuwa na kazi, wagonjwa, wazazi, wahamiaji, wakimbizi, na wale walio na ulemavu

Tenant’s Union of Queensland (TUQ) ⇒

Chombo ambacho hutetea haki za wapangaji

Tenant Advice and Advocacy Service (TAAS) ⇒ ⇒ ⇒

6

Mahakama/korti ambayo hushughulika na mizozo ya mpangaji na mizozo zingine kuhusu pesa chini ya kiwango fulani. Katika visa vingi lazima kwanza ujaribu kutatua mzozo kupitia RTA kabla ya kuomba kwa Mahakama ya Lawama Ndogo ili waamue kuhusu mzozo.

Huduma inayotoa usaidizi na habari kwa wapangaji Waliyofunzwa sheria ya kukodisha na inaweza kuku saidia na habari Na kuja nawe kwa Mahakama ya Lawama Ndogo au RTA ikiwa unahitaji usaidizi wa kujadili shida zozote unazo na mpangishaji wako 59

Unapowasili mara ya kwanza Umefika Australia kama Mkimbizi? * unganisho itakutafutia nyumba ya kukodisha.

Mashirika Muhimu ya kujua . . .

……...Wanachofanya ...uk wa 60 …...Jinsi ya kuwasiliana nao ...uk wa 62

Kwa miezi 0-6 — Kodisha kupitia Unganisho (Mkataba wa Kukodisha wa Muda uliowekwa/miezi 6) Utahitajika : - kulipa kodi - kulipa bili (k.v. stima) - kulipa bondi ya kukodisha - kutia sahihi makubaliano ya kukodisha (Fomu 18a) - kutia sahihi Bondi ya kushtaki (Fomu 2) - kujaza na kutia sahihi Ripoti ya Hali ya Ulivyoingia (Fomu 1a)

Mwezi 1 kabla Mkataba wako wa Kukodisha kuisha, INTERLINK itakusaidia kuamua kama unataka: 1. Kuishi katika nyumba unayokodisha AU 2. Kutafuta nyumba nyingine ya kukodisha Miezi 6 na kuendelea — Kodisha moja kwa moja kwa kupitia mpangishaji/ajenti Utahitajika : - kulipa kodi - kulipa bili (k.v. stima) - kulipa bondi ya kukodisha - kutia sahihi makubaliano ya kukodisha - kutia sahihi Bondi ya kushtaki (Fomu 2) - kujaza na kutia sahihi Ripoti ya Hali ya Ulivyoingia (Upangaji kwa Kijumla) (Fomu 1a)

58

Vidokezo Vyema vya Wapangaji: Ukiishi katika nyumba moja na utie sahihi Makubaliano ingine ya Upangaji (Fomu ya 18a), HAUPASWI kujaza 7 Ripoti ingine ya Hali ya Ulivyoingia (Fomu ya 1a)

Kukodisha kutoka kwa Interlink

Vitu Vingine Muhimu vya Kujua . . .

Kuna NJIA ya kulipa kodi yako.

Makazi ya Umma

⇒Wewe

Nyumba au vizio vya kukodisha vya serikali hukodishwa kwa wanaopokea mapato ya chini kwa kodi ya chini zaidi ya sekta ya kibinafsi.

(mpangaji) utalipa Interlink (kutoka kwa malipo yako ya Kituo cha Centrelink)

⇒Interlink ⇒Ajenti

Kukodisha kwa Mali ya Kibinafsi

itamlipa Ajenti

Nyumba za kukodisha ambazo zinamilikiwa na watu ambao huzikodisha nje moja kwa moja au kulipa ajenti wa mali isiyohamishika ili kuzisimamia

atamlipa Mpangishaji/mwenyewe

Fomu ya Kudai Utunzaji Fomu unayoweza kutumia kule kwa Interlink na mpangaji wako ili kuripoti ukarabati ambao unahitaji kukamilishwa. Hii sio fomu halali ya RTA, lakini inaweza kukusaidia kufafanua kwa mpangishaji/ ajenti wako nini kibaya.

Mpangaji

Interlink Makao na Usaidizi

Centrepay Pesa ambazo unakubali zichukuliwe kutoka kwa Malipo yako ya Kituo cha Interlink ili ulipe bili ya kaya (mfano: kodi, Simu, stima).

Family Tax Benefit A&B Mpangishaji

Malipo ya Kituo cha Interlink ili kusaidia kulea mtoto/watoto.

Ajenti

Asiyeajiriwa Mtu ambaye hana kazi ya kulipwa pesa. 8

57

Kukodisha katika Queensland

Inaendelea: Maneno muhimu ya Kuelewa . . . ⇒

Sheria za Kukodisha . . . Iwe unakodisha kutoka Interlink, kutoka kwa makao mengine ya umma au ya kibinafsi, kuna sheria katika Queensland kuhusu kukodisha.

mwanzo wa upangaji Kurudishiwa Kodi ya Bondi (Fomu ya 4) Ilani ya Kuondoka (Fomu ya 12)

Sheria hii huorodhesha yale wapangishaji na wapangaji wanaweza kufanya na yale hawawezi kufanya wakati wa kukodisha.

Mpangaji hupokea fomu hii ikiwa amekiuka Makubaliano ya Upangaji na HAJATATUA shida kwa siku saba baada ya kupokea Ilani ya Suluhisho la Ukiukaji (Fomu ya 11)

Hapa chini kuna baadhi ya maneno utakayoyasikia au kuyaona wakati unapokodisha au unaposoma kitabu hiki.

Fomu ya kudai bondi mwisho wa upangaji

Ilani ya Nia ya Kuondoka (Fomu ya 13) Fomu ya kusema kwamba mpangaji ana nia ya kuondoka kwa nyumba anayokodisha. ⇒Makubaliano

ya Muda Uliowekwa—mpangaji lazima apeane ilani ya wiki 2, wiki 2 kabla ya tarehe ya makubaliano kuisha ⇒Makubaliano ya Muhula—mpangaji lazima apeane ilani ya wiki 2 wakati wowote

The Residential Tenancies Act 1994/ Sheria ya 1994 ya Upangaji wa Makaazi Hii ni sheria ambayo inaweka maagizo ya kukodisha katika Queensland:

Agent/Ajenti Mtu ambaye huchunga nyumba ya mpangishaji/mwenyewe

Real Estate Agent/Ajenti wa Mali Isiyohamishika Husimamia nyumba ya mpangishaji/mwenyewe

Ripoti ya Hali ya Kuondoka (Fomu ya 14a) Fomu ambayo mpangaji hujaza mwisho wa upangaji ambayo huonyesha hali ya mahali anapotoka.; kurekodi kama vitu kwenye nyumba ni safi, zinafanyakazi, hazijaharibika (mfano: jiko/meko)) Fomu hii hulinganishwa na Ripoti ya Hali ya Kuingia. Vidokezo Vyema kwa Wapangaji: Linda bondi yako—ukiharibu nyumba au haulipi kodi yako, mpangishaji/ajenti ataweka baadhi ya bondi AU yote!

Tenant/Mpangaji Mtu ambaye hulipa kodi ya kuishi halali katika nyumba

Tenancy/Upangaji Wakati umetia sahihi makubaliano ya upangaji na unalipia kodi nyumba yako, una upangaji. Upangaji wako una mwanzo na mwisho.

Lessor/Mpangishaji 56

Mwenye nyumba inayokodishwa

9

Kukodisha katika Queensland ⇒

Haki na Majukumu chini ya sheria MPANGAJI ana uwajibikaji wa: ⇒ ⇒ ⇒ ⇒ ⇒ ⇒ ⇒ ⇒

Kuishi katika nyumba kulingana na masharti yaliyokubaliwa na mpangishaji katika Makubaliano ya Upangaji Kulipa kodi kwa wakati unaofaa (kiwango kilichokubaliwa katika makubaliano) Kuiweka nyumba safi NDANI na NJE Kutopiga kelele nyingi katika mtaa wako Kuripoti uharibifu wowote au hitaji la utunzaji kwa mpangishaji/ajenti Kutotumia nyumba kwa kitu kingine ambacho ni kinyume na sheria ya Australia Kuhakikisha wewe au wageni wako ha waaribu nyumba kimakusudi Kulipia uharibifu wowote unaosababisha MPANGISHAJI/AJENTI ana uwajibikaji wa:

⇒ ⇒ ⇒ ⇒ ⇒ ⇒

Kuiweka nyumba salama na katika hali ya kukalika Kufanya marekebisho wakati yanahitajika Kukuruhusu wewe kuishi katika nyumba kama nyumba yako kwa wakati uliyowekwa kwenye makubaliano Kutoingia kwa nyumba yako bila kukupatia ilani sahihi iliyoandikwa Kupeana funguo za nyumba Kuhakikisha bondi iliwasilishwa na RTA

Vidokezo Vyema kwa Wapangaji: (RTA) hutumia huduma ya bure ya ukalimani. Kama unahitaji kupigia simu RTA, piga simu kwa huduma ya Ufasiri na Ukalimani (131 450 ) - uliza uunganishwe na 10 RTA katika Queensland.

Inaendelea: Maneno muhimu ya Kuelewa . . . kama unashida na upangaji Mzozo Kutopatana au utofauti wa maoni kati ya watu wawili

Ukiukaji Wakati sheria za Makubaliano ya Kijumla ya Upangaji hazijafuatwa na mpangaji au mpangishaji

Madeni ya Kodi Pesa za kodi ambazo hazijalipwa kwa muda unaofaa

Azimilio la mzozo Hii ni huduma ya bure na ya siri inayotolewa na RTA kwa wapangaji na Wapangishaji ambao wanataka kuzungumzia mzozo wao na kufikia makubaliano. Unaweza ukaweka maombi ya azimio la mzozo kwa kutuma Fomu ya 16 kwa RTA. Unaweza kuchagua kuwa na rafiki au mfanyakazi msaidizi azungumze kwa niaba yako kwa RTA

Ombi la Azimio la Mzozo (Fomu ya 16) Fomu inastahili kujazwa wakati unataka RTA ikusaidie kuhusu mzozo Vidokezo Vyema kwa Wapangaji: Daima zungumza na mpangishaji/ajenti wako kama una shida wakati unapokomboa, au umtafute mtu ambaye anaweza kuzungumza kwa niaba yako. 55

Inaendelea: Maneno muhimu ya kuelewa ………. ⇒

wakati wa upangaji

MAHALI unapoweza kupata nyumba mpya ya kukodisha: ⇒ ⇒ ⇒ ⇒

Uchunguzi wa Nyumba Mpangishaji/ajenti anaweza kuchunguza nyumba kila miezi 3 ili kunakili jinsi mpangaji anavyochunga nyumba na kuangalia kama marekebisho yanahitajika. Huu ni wakati mzuri kwa mpangaji kumjulisha mpangishaji/ajenti kuhusu marekebisho yoyote au hoja zozote.



Ajenti wa Mali Isiyohamishika Gazeti Rafiki Ishara ya KUPANGISHA (TO LET ) au KUKODISHA (TO RENT) Tovuti

Wakati Unapotafuta Nyumba Mpya Ya Kukodisha

Ilani ya Kuingia (Fomu ya 9) Fomu inayopewa mpangaji ili mpangishaji/ajenti aweze kufanya: 1) uchungunzi wa nyumba (ilani ya siku 7) au 2) ukarabati wa utunzaji (ilani ya masaa 24)





Barua na Mawasiliano



Barua zilizopokewa kwenye sanduku la barua



Vidokezo Vyema kwa Wapangaji: Weka nyumba yako safi kila wakati, na wala sio tu wakati kuna uchunguzi wa nyumba. 54

Piga hesabu ni pesa ngapi unaweza kulipa kodi Muulize Ajenti wa Mali Isiyohamishika orodha ya nyumba zao Angalia nyumba hiyo ukiwa kwa barabara Angalia kama unapenda mtaa ambao nyumba hiyo iliyoko

Vidokezo Vyema kwa Wapangaji: Ikiwa huna gari, hakikisha kuwa nyumba unayotaka kukodisha ni karibu na usafiri wa umma

11

KUOMBA nyumba mpya ya kukodisha:

Inaendelea: Maneno muhimu ya kuelewa ………. ⇒

wakati wa upangaji Kodi Pesa zinazolipwa mara kwa mara ili kuishi kwa nyumba ambayo mpangaji haimiliki

Sehemu ya Malipo ya Bondi ya Kukodisha (Fomu ya 7) Fomu ya kuonyesha kiasi cha bondi ya ziada ambayo mpangaji atalipa kodi ikiongezeka

Jaza ‘fomu ya maombi’ pamoja na: ⇒ ⇒ ⇒ ⇒ ⇒ ⇒ ⇒

⇒ ⇒

Jina Anwani ya sasa Anwani ya kukodisha ya hapo awali Maelezo ya mawasiliano Ni watu wangapi watakaokuwa wakikodesha nyumba (majina/umri) Maelezo ya ajira/mapato Vipengele 100 vya sifa za utambuaji (k.v. Kadi ya Huduma ya afya, Kadi ya Kituo cha Interlink, paspoti, bili ya stima na jina lako juu yake) Jina ya mnyama kipenzi na umri wake Marejeo — kwa mfano: barua kutoka kwa mpangishaji/ ajenti wa hapo awali ikisema kama ulifuata sheria za Makubaliano ya Upangaji wako (k.v. kama ulilipa kodi yako kwa wakati unaofaa)

Vidokezo Vyema kwa Wapangaji: Muulize mtu akusaidie kujaza fomu ya maombi kama unashida au unahitaji usaidizi

Utunzaji Uangaliaji wa kitu mara kwa mara (mfano: ukataji nyasi au uvutaji vumbi kwa zulia mara kwa mara)

Ukarabati Kurekebisha kitu ambacho kimevunjika

Ilani ya Nia ya Mpangishaji Kuuza Majengo (Fomu ya 10) Fomu ya kumjulisha mpangaji kwamba mpangishaji/ajenti ananuia kuuza majengo anayokodisha

Vidokezo Vyema kwa Wapangaji: Kama hauelewi kitu kuhusu kukodisha, muulize mpangishaji/ajenti wako—wako hapo ili kukusaidia 12

53

Inaendelea: Maneno muhimu ya kuelewa ………. ⇒

mwanzo wa upangaji

Mkopo wa Bondi Pesa zilizokopwa kutoka kwa Idara ya Makaazi ili kulipia Bondi ya Kukodisha. Pesa hizi LAZIMA zilipwe

Bondi ya Kushtaki (Fomu ya 2) Fomu iliyotiwa sahihi na wewe na mpangishaji ambayo hutumwa kwa RTA na mpangishaji na pesa zako za bondi. Fomu hii hushikiliwa na RTA pamoja na pesa za bondi ya mpangaji hadi mwisho wa upangaji – mpangaji au mpangishaji anaweza kuomba alipwe bondi hiyo

Ripoti ya Hali ya Kuingia (Fomu ya 1a) Hii ni fomu ambayo mpangaji hujaza mwanzo wa upangaji ili kurekodi kama vitu ndani ya nyumba ni safi, zinafanyakazi hazijaharibika (mfano: jiko/meko) Fomu hii hulinganishwa na Ripoti ya Hali ya Kuondoka ya mpangani wa hapo awali na kulinganishwa na Ripoti yako ya Hali ya Kuondoka mwisho wa upangishaji wako.

Sehemu ya 2 Habari Muhimu ya Kukodisha Vizuri ⇒ ⇒ ⇒

Ukomboaji nyumba: Mwongozo wa mpangaji wa



sheria za kukomboa katika Quuensland (taarifa ya habari Fomu ya 17a) Habari ya mpangaji kuhusu amri na sheria za kukomboa katika Queensland. Unapaswa kupewa nakala ya Fomu hii na mpangishaji unapoanza upangaji wako



Vidokezo Vyema kwa Wapangaji: Uvutaji vumbi kwa zuli kila wakati hupunguza vumbi.

52



Kuanza upangaji Ulipaji Kodi Ukarabati na utunzaji Uchunguzi wa Nyumba Shida unazoweza pata wakati wa upangaji Barua na Masiliano

13

Maneno muhimu ya Kuelewa . . .

1. Kuanza upangaji …………………...15



Makubaliano ya Upangaji Ripoti ya Hali ya Kuingia

mwanzo wa upangaji

Makubaliano ya Kijumla ya Upangaji (Fomu ya 18a)

2. Kulipa Kodi ….………...18

Makubaliano ya halali kati ya mpangaji na mpangishaji/ ajenti. Wakati umetia sahihi makubaliano ya upangaji, unakubali kuishi kwa nyumba hiyo kulingana na sheria zilizo kwenye Makubaliano.

Njia za kulipa Vidokezo Muhimu 3. Ukarabati na Utunzaji …..……....20

Makubaliano ya Muda Uliowekwa

Ukarabati ... Kuripoti Ukarabati na Utunzaji Jinsi ya kuuliza Usaidizi Fomu za Ukarabati na Utunzaji Ukarabati wa Kawaida Ukarabati wa Dharura

Muda uliowekwa ambao mpangaji hukodisha nyumba (mfano: Miezi 6 au 12)

Makubaliano ya Muhula

Utunzaji … Kuangalia nyumba yako ndani na nje 4. Uchunguzi wa nyumba ……….………….....35 Matayarisho……………… Uchunguzi wa Nyumba… Anaye RUHUSIWA NDIYO KUINGIA… Nani ASIYERUHUSIWA HAPONA KUINGIA…

 

5. Barua na Mawasiliano ...……………..40 - Unachostahili kufanya na mawasiliano? - Unayestahili kuzungumza naye 14

Mpangaji hukodisha nyumba kwa MUDA AMBAO HAUJAWEKWA. Kuna tarehe ya mwanzo lakini HAKUNA TAREHE YA MWISHO. Makubaliano ya muhula huanza wakati makubaliano yaliyowekwa yanapoisha na mpangaji HATII sahihi upya makubaliano yaliyowekwa.

Bondi ya Kukodisha Pesa zilizolipwa mwanzo wa upangaji, na kutumwa kwa RTA na mpangishaji. Hii SIYO kodi. Mwisho wa upangaji unaweza kuomba RTA ikurudishie bondi yako. Mpangishaji/ajenti pia anaweza kuomba aweke baadhi ya bondi au zote za uharibifu wa nyumba au ikiwa una deni unapotoka kwa nyumba hiyo.

Vidokezo Vyema kwa Wapangaji: 51 Sheria ya 1994 ya Maakazi ya Upangaji hulinda haki zako na haki za mpangishaji

Kuanza upangaji

.

Ili kuanza kukomboa nyumba yako utahitaji:

Sehemu ya 4 Maneno muhimu ya kuelewa... ⇒

mwanzoni mwa Upangaji wako



wakati wa upangaji wako



kama unashida na upangaji wako



mwisho wa upangaji wako



Kujaza na kutia sahihi Makubaliano ya Kijumla ya Upangaji (Fomu ya 18a)



Kujaza na kutia sahihi Bondi ya kushtaki (Fomu ya 2)



Kuchukua funguo



Kupanga kuwa na simu/stima au gesi iunganishwe



Kupanga uhamisho

kukagua nyumba unayoenda kukodisha – kisha kujaza na kutia sahihi Ripoti ya Hali ya Kuingia (Fomu ya 1a) na urudishe nakala moja kwa mpangishaji/ajenti kati ya siku 3 za biashara ⇒

Vidokezo Vyema kwa Wapangaji: Kama hauelewi kitu kuhusu kukodisha, muulize mpangishaji/ajenti wako—wako hapo ili kukusaidia 50

Vidokezo Vyema kwa Wapangaji: KILA WAKATI uliza usaidizi kama hauelewi!

15

Kuanza upangaji VIZUIZI VYA MAJI NI MUHIMU . . .

Makubaliano ya Upangaji wa Makaazi (Fomu ya 18a) Hii ni makubaliano ya halali kati ya mpangaji na Mpangishaji/ ajenti. Unapotia sahihi Sehemu ya 18a, unakubali kuishi katika nyumba hiyo kulingana na sheria zilizo kwenye Makubaliano. Hakikisha unaelewa kile unachokubaliana nacho. Kwa mfano: Je! unajua wakati kodi yako inastahili?

TUMIA MAJI VIZURI . . . JE! NINAWEZA? ⇒

Je! unajua wakati upangaji wako unakwisha? Je! unajua kama ni jukumu lako kukata na kuangalia bustani?

nyasi

Je! unajua kama umeruhusiwa kuwa na kipenzi?

mnyama

Kumwagia maji bustani yangu au kukata nyasi, kuosha gari, kuosha nyumba n.k.

Kwa maelezo PIGA SIMU . . . ⇒

Logan City Council— 3412 3412 (Baraza la Jiji la Logan) Brisbane City Council— 3403 8888 (Baraza la Jiji la Brisbane)

Ripoti ya Hali ya Kuingia (Fomu ya 1a)



Hii ni fomu ambayo mpangaji hujaza wakati wa kwanza wa upangaji ili kurekodi kama vitu kwenye nyumba ni safi, zinafanyakazi, hazijaharibika (mfano: Jiko)



Kama hauelewi vitu katika fomu hiyo, muulize rafiki au mfanyikazi wa usaidizi akusaidie kuijaza

UKIKIUKA VIZUIZI VYA MAJI UNAWEZA KUPEWA FAINI YA KIASI FULANI CHA PESA

Vidokezo Vyema kwa Wapangaji: Piga picha ya uharibifu wowote kwa nyumba kabla haujaingia – fomu hii na picha zinaweza kuwa dhihirisho muhimu ikiwa wewe na mpangishaji hamkubaliani kuhusu kupata bondi yako wakati wa mwisho wa upangaji

16

Gold Coast City Council— 5582 8211 (Baraza la Jiji la Gold Coast)

Vidokezo Vyema kwa Wapangaji: USIWACHE mfereji ukimwaga maji wakati hautumii

49

Kuanza upangaji

Bili ya Kaya Mahusiano... Maeneo ya Logan na Gold Coast Telstra Origin

Ph: 132200 Ph: 131253

Vidokezo muhimu vya kukumbuka . . .

Dharura (hakuna stima) Simu: 131253 Gesi ya Kawaida/mfano AGL Simu: 1300 309 132 Gesi ya Chupa/ORIGIN Simu: 1300 308 624

1)

USIJETIA SAHIHI FOMU TUPU

2)

USIJETIA SAHIHI KITU CHOCHOTE ISIPOKUWA KAMA UNAELEWA UNACHOTIA SAHIHI

(Ada ya Utunzaji = ada ya wakati mmoja)

Stima

Simu: 1300 308 624

miezi 0-6— Interlink italipia ada ya simu yako, stima/ uInterlink wa gesi au pesa za usalama

miezi 6 na kuendelea— utahitaji kulipa ada ya simu yako, stima/uInterlink wa gesi au pesa za usalama

Vidokezo Vyema kwa Wapangaji: Kumbuka kulipa bili kwa wakati unaofaa. Usipo fanya hivyo, stima yako/gesi au simu inaweza KUKATWA. 48

3) UNA ZURI

WEKA NAKALA YA KILA KITU CHOTIA SAHIHI PAHALI PA-

17

Ulipaji Kodi . . .

Kwa maelezo zaidi kuhusu usalama, unaweza piga simu:

Njia za kulipa: ⇒ ⇒

Kadi ya Kodi

Brisbane Council— 3403 8888 (Baraza la Brisbanel)

(kutoka kwa mpangishaji/ajenti) ⇒ ⇒

Kulipa kituo (kutoka kwa malipo ya Kituo cha Interlink) ⇒



Kutoa Moja kwa moja (kutoka kwa benki)





Hawala ya fedha (kutoka kwa ofisi ya posta)



Kitabu cha Kuweka (kutoka kwa Ajenti)



Pesa taslimu (ikiwa mpangishaji/ajenti anakubali pesa taslimu, jaribu kuwa na kiwango sahihi)

Vidokezo Vyema kwa Wapangaji: Weka risiti ZOTE na makaratasi mahala pazuri 18

Gold Coast City Council 5582 8211 (Baraza la jiji la Gold Coast) Origin— 131253 Department of Emergency Services— 3247 8100 (Idara ya Huduma za Dharura)

Vidokezo Vyema kwa Wapangaji: Ni muhimu kuweka nyumba yako na familia yako salama.

47

Inaendelea: Usalama ndani ya Nyumba ...

Vifuli (X= HAPANA)

(√ = NDIYO)

⇒ Funga milango na madirisha wakati haupo nyumbani

Inaendelea: Ulipaji Kodi Vidokezo Muhimu. . . ⇒

DAIMA zungumza na mpangishaji/ajenti KWANZA ikiwa unataka kubadili njia ya kulipa kodi (mfano: unalipa pesa taslimu ya kodi yako na unataka kuanza kulipa kodi yako kupitia kutoa moja kwa moja kwa akaunti yako ya benki)



Kama hauwezi kulipa kodi yako, DAIMA zungumza na mpangishaji/ajenti wako



Ikiwa hali yako imebadilika (mfano: ukipata kazi au kubadilisha kazi, DAIMA eleze Kituo cha Interlink kwa sababu hii inaweza kudhuru malipo yako ya Interlink

⇒ Funga milango ya usalama wakati uko nyum-



bani ⇒ KILA WAKATI weka funguo mahali pazuri

Maji Moto ⇒ USIWEKE mikono au mwili chini ya maji moto (inaweza KUCHOMA)

X

⇒ Mfereji wa maji ya moto unaovuja unahitaji kurekebishwa



Dharura PEKEE! Piga simu kwa 000

Vidokezo Vyema kwa Wapangaji: Kumbuka kuzima vifaa vyote vya stima kabla ya kutoka 46 au kuenda kitandani

Vidokezo Vyema kwa Wapangaji: Kama unashida ya kulipa kodi yako, ongea na mpangishaji/ajenti wako ili mtengeneze mpango wa malipo 19

Inaendelea: Usalama ndani ya Nyumba ...

Ukarabati na Utunzaji . . .

Vidokezo vya Usalama: (X= HAPANA) (√ = NDIYO)

Utunzaji (kuchunga nyumba) Mpangishaji/ajenti ana uwajibikaji wa : ⇒ Kuhakikisha kuwa majengo yako sawa kuishi ndani wakati mpangaji anapoingia ⇒ kuhakikisha kila kitu kinafanya kazi na katika hali ya kukalika katika nyumba wakati wa upangaji.



USITUMIE vifaa vya stima karibu na maji (mfano: Kikaushi nywele)

X



USIWEKE vifaa vya chuma ndani ya chombo cha kuchomea tosti

X



USIWACHE mishumaa zinazowaka bila kushughulikia

X



Mpangaji ana uwajibikaji wa : ⇒ Kuiweka nyumba safi na katika hali iliyokua wakati wa kuingia mara ya kwanza.

USIWEKE mablanketi au nguo KARIBU au JUU ya kikanza

X



USIKAE karibu na kikanza

X

Ukarabati



USIWEKE kamba ya stima kwa stima ikiwa IMEWASHWA

X



ZIMA kikanza unapotoka kwa nyumba





ZIMA kikanza wakati ambao hauitumii





Zima mishumaa kabla ya kutoka kwa nyumba





Washa gesi kwa kutumia kiwasha gesi



Kama kuna uharibifu wowote kwa nyumba mpangaji anapaswa kuiripoti papo hapo kwa mpangishaji. Kuna uharibifu mwingine ambao mpangishaji anapaswa kurekebisha na kulipia. Kuna uharibifu mwingine ambao mpangaji anastahili kulipia. Hakikisha unajua unayestahili kumwona wakati wa marekebisho ya dharura.

Vidokezo Vyema kwa Wapangaji: Ripoti Ukarabati mara moja! Ukijaribu kuunda vitu mwenyewe unaweza kuviharibu zaidi – kisha itakubidi kulipia uharibifu huo

20

45

Usalama ndani ya nyumba . . . Stima

(X = HAPANA)

(√ = NDIYO)

Sehemu za umeme ⇒

USIWASHE au KUZIMA sehemu za umeme ukiwa



na mikono yenye unyevu X Muulize mpangishaji/ajenti kurekebisha sehemu za umeme kama zimepasuka au kama zina alama ya hudhurungi/manjano √





USITUMIE chombo cha plastiki kwa stovu moto X



TUMIA chombo cha chuma kwa stovu moto √

USIWAHI kuweka mkono wako juu, au ndani ya stovu moto X



Mifano ya uharibifu ambao mpangaji anastahili kulipia: ⇒

⇒ ⇒ ⇒ ⇒

Uharibifu wa zulia—(mchomo wa pasi, mchomo wa sigara, kukojoa kwa watoto/wanyama kwenye zulia) Dirisha iliyovunjika (kutupa mpira kwa dirisha) Mashimo kwenye kuta Kupasua vioo vya milango/madirisha Mabomba kujifunga kwa sababu ya bidhaa zisizofaa kuwekwa ndani

USIWAHI kutumia vifaa vya stima karibu na maji X

Stovu



Inaendelea: Ukarabati na Utunzaji . . .

Mifano ya uharibifu ambao mpangishaji anastahili kulipia: Uharibufu wowote ambao wewe au wageni wako HAWAJASABABISHA kwenye nyumba. Kwa mfano: ⇒ Paa linalovuja ⇒ Mabomba yaliyopasuka ⇒ Jiko, mfumo wa majimoto, stima kutofanya kazi vizuri

Wakati HAUPIKI, ZIMA kirungu cha stovu √

Vidokezo Vyema kwa Wapangaji: Mifereji inayovuja MAJI CHAFU! Inaweza kukubidi ulipe zaidi ukitumia maji zaidi 44

Vidokezo Vyema kwa Wapangaji: USIWEKE misumari au viopoo kwenye kuta bila kupata 21 Idhini kwanza kutoka kwa mpangishaji/ajenti

Inaendelea: Ukarabati na Utunzaji . . . Jinsi ya kuuliza usaidizi? Mtafute mtu anayeweza kuzungumza kiingereza na umuulize akusaidie kujaza fomu ya utunzaji na uipeleke: - Interlink (miezi 0-6) - Kiongozi wa jamii (kila wakati) - Mpangishaji/ajenti (baada ya miezi 6) - BCA (kila wakati)

Kumbuka . . . Kama hauelewi kitu; uliza kwa USAIDIZI . . . Wapi? * Interlink (miezi 0-6) * Mpangishaji/ajenti (baada ya miezi 6) * Kiongozi wa jamii (kila wakati) * BCA (kila wakati) * Acces Services Inc. (kila wakati) * Multicultural Families Organisation (MFO) (kila wakati) * Residential Tenancies Authority (RTA) (kila wakati) * Tenant Advice and Advocacy Service (kila wakati) Vidokezo Vyema kwa Wapangaji: Utawala wa Makaazi ya Upangaji (RTA) hutumia huduma ya bure ya ukalimani. Ikiwa unataka kupigia RTA, pigia simu Huduma ya Utafsiri na Ukalimani (131 450 ) na uliza uunganishwe kwa RTA katika Queensland 22

Sehemu ya 3 Vidokezo vingine vya kukodisha na kuishi kwa nyumba nchini Australia... ⇒

Usalama ndani ya nyumba



Bili ya kaya



Vizuizi vya maji

Tafadhalai kumbuka: Habari katika sehemu hii SIO sheria ya upangaji lakini inatolewa ili kuwasaidia wapangaji kuelewa baadhi ya vipengele muhimu kuhusu kuishi kwa nyumba nchini Australia.

43

Inaendelea: Ukarabati na utunzaji . . .

Inaendelea: Barua na Mawasiliano

Kuripoti ukarabati na utunzaji ⇒Small

Claims Tribunal (SCT)— Mahakama ya Lawama Ndogo (SCT)

⇒Department

1.Wakati unapokodisha kutoka kwa Interlink (miezi 0-6 nchini Australia)

of Housing—Idara ya Makazi Unapokodisha kutoka kwa Interlink kuna NJIA ya ukarabati na utunzaji.

⇒Centrelink

Hatua ya 1: Mpangaji huripoti ukarabati na utunzaji kwa Interlink

Unaweza kupokea barua kutoka kwa Interlink ...

Hatua ya 2: Interlink huripoti ukarabati na utunzaji kwa Ajenti (Interlink inajukumu la kutengeneza uharibifu wa mpangaji TU)

Kuhusu: ⇒Kukodisha kwako; ⇒Kodi yako; ⇒Kusumbua majirani; ⇒Kuweka nyumba yako

safi na nadhifu.

Hatua ya 3: Ajenti huripoti ukarabati na utunzaji kwa mpangishaji (Maajenti wanajukumu la kurekebisha kila kitu kingine)



2. Unapokodisha kibinafsi kutoka kwa Mpangishaji/ Ajenti (miezi 6 na kuendelea)

Muhimu!

Unapokodisha kibinafsi kuna NJIA ya ukarabati na utunzaji.

Ukipokea barua kutoka kwa Mahakama ya Lawama Ndogo:

Hatua ya 1: Mpangaji huripoti ukarabati na utunzaji kwa Ajenti

1)

Hatua ya 2: Ajenti huripoti ukarabati na utunzaji kwa mpangishaji

2)

Hudhuria siku ya kusikilizwa kortini (unaweza kutoa maoni yako) Enda na mtu ambaye anaweza kuzungumza na kuelewa Kiingereza Vidokezo Vyema kwa Wapangaji: ⇒

Angalia kijisanduku cha Barua Kila siku!!!

42

Hatua ya 3: Mpangishaji huidhinisha ukarabati na Ajenti hupanga Vitu viundwe Vidokezo Vyema kwa Wapangaji: Mpangishaji au ajenti wako anaweza kuwa na fomu muhimu ya kujaza ya kuripoti utunzaji. Pia, unaweza 23 kutumia fomu katika ukurasa wa 63 kama unaona itakusaidia.

Inaendelea: Ukarabati na Utunzaji . . . Ukarabati wa Kawaida

Barua na Mawasiliano



MUHIMU! ⇒Mfereji

unaovuja/dondoka

⇒Jaribu na usome barua yako ⇒Ikiwa hauwezi kusoma barua

⇒ Hakuna

mwangaza? Tufe ya mwangaza inahitajika kubadilishwa

⇒Manyunyu

kuanguka chini

yako, zungumza na mtu ambaye anaweza kukusaidia kati ya siku ifuatayo (masaa 24).

Nani wa kuzungumza naye?... ⇒ ⇒ ⇒ ⇒ ⇒ ⇒ ⇒

Interlink wa Makao na Usaidizi (miezi 0-6) Mpangishaji/ajenti (baada ya miezi 6) Kiongozi wa jamii (kila wakati) BCA (kila wakati) Mfanyakazi wa Kesi (kila wakati) MFO (kila wakati) Acces Services Inc.

Barua ya mpangaji unayoweza kupokea. . . ⇒Kupasuka

kwa kioo cha mlango/ kioo





Angalia kingora cha moshi baada ya kila miezi 6

Badilisha betri kila miezi 6-12 kama inawezekana

Vidokezo Vyema kwa Wapangaji: kama umeamua kubadilisha balbu wewe mwenyewe KILA WAKATI Kwanza zima stima

24





Ilani ya Kuingia (Fomu ya 9)



Ilani ya Suluhisho la Ukiukaji (Fomu ya 11)



Ilani ya Kuondoka (Fomu ya 12)



Ilani ya Nia ya Mpangishaji Kuuza (Fomu ya 10)



Barua kutoka kwa mwenyewe/ajenti ikisema kukodisha kwako kumekaribia kuisha

Vidokezo Vyema kwa Wapangaji: Angalia kijisanduku chako cha barua kila siku! Kunaweza kuwa kuna habari muhimu ambayo unaweza 41 kushughulikia moja kwa moja.

Shida unazowezapata Wakati wa upangaji — kile unachoweza kufanya . . .

Inaendelea: Ukarabati na Utunzaji . . . Ukarabati wa Dharura Gesi au stima Kitu Kilichovunjika

Ukipokea Ilani ya Kuondoka (Fomu ya 11) au Ilani ya Suluhisho la Ukiukaji (Fomu ya 16) na haukubaliani na mpangishaji kuhusu shida hiyo, unaweza kuwasiliana na RTA na uombe Azimio la Mzozo











Choo iliyofunga/ Choo kuto foka

RTA inaweza kukusaidia na mzozo Unaweza kuzungumza na RTA au unaweza kuwa na mtu azungumze kwa niaba yako Unaweza kutia sahihi fomu ya kumpa mtu mwingine ruhusa ya kuzungumza kwa niaba yako RTA imefungwa na SHERIA YA SIRI Chochote utakachosema kitakuwa SIRI

Vidokezo Vyema kwa Wapangaji: Ikiwa unahitaji usaiadizi wa kutatua mzozo au kuzungumza na mpangishaji wako unaweza ku piga simu kwa ushauri wa mpangaji na huduma ya utetezi iliyo orod- 40 heshwa nyuma ya kitabu hiki.

Dirisha iliyopasuka

Hakuna Maji Moto

KWANZA . . . 1) enda kwa sanduku ya kipimo 2) Ikiwa swichi ya maji moto IMEZIMWA, finya ili KUIWASHA. Ikiwa swichi IMEWASHWA: Subiri maji yapate moto. Ikiwa maji hayapati moto, ripoti kwa mpangishaji/ajenti. 3) Ikiwa swichi ya maji moto IMEZIMWA, na unapo WASHA haiwaki; ripoti kwa mpangishaji/ ajentii.

Vidokezo Vyema kwa Wapangaji: Watu wa kuwasiliana nao kwa marekebisho ya dharura wanapaswa kuwa wameorodheshwa kwenye Makubaliano yako ya kukodisha.

25

Utunzaji wa nyumba yako ndani na nje. . Ni uwajibikaji wa mpangaji kuweka nyumba safi na katika hali nzuri .Kila mmoja yuko na mawazo tofauti kuhusu umaana wa usafi, lakini kurasa chache zinazofuata zitakupa wazo la baadhi ya vitu katika nyumba yako na njia ya kuzisafisha. Kumbuka kwamba kuruhusu uchafu kuwa katika zulia au kuvu kuwa kwa bafu inaweza kusababisha kupoteza bondi yako. Bidhaa za kusafisha

Inaendelea: Shida unazowezapata wakati wa upangaji . . . kile unachoweza kufanya Ilani ya Suluhisho la Ukiukaji (Fomu ya 11) Fomu hii inaweza kutumiwa na wapangaji na wapangishaji ⇒

inaweza kupewa mpangaji wakati hajafuata sheria za Makubaliano ya Kijumla ya Upangaji (mfano: hajalipa kodi kwa wakati unaofaa au kama wametatiza utulivu wa mtaa.



mpangaji ana siku 7 za kubadilisha shida hiyo



pia inaweza kupewa mpangishaji/ajenti na mpangaji ikiwa hajafuata sheria za Makubaliano ya Kijumla ya Upangaji (mfano: umeripoti metali ya bafu ya manyunyu iliyovunjika kwa mpangishaji mara nyingi na shida hiyo haijarekebishwa.



mpangishaji/ajenti ana siku 7 kurekebisha shida hiyo ikiwa umempa mpangishaji Ilani ya Suluhisho la Ukiukaji (Fomu ya 11)

Ni wapi unaweza kununua bidhaa za kusafisha? ⇒ Kutoka kwa duka kuu Ni bidhaa zipi unazostahili kuzitumia kusafisha? ⇒ Bidhaa zilizoruhusiwa TU– angalia kibandiko cha maelezo kwenye bidhaa, au uliza usaidizi Bidhaa zinazofaa mazingira …….. Siki — iliyochanganywa na maji inaweza kusaidia kuondoa kuvu Brashi ya kupakia rangi iliyo na unyevu — inaweza kutumika kusafisha dirisha Bikabonati ya soda — ikinyunyuziwa kwa kitambaa chenye unyevu, inaweza kutumika badala ya kifaa cha kusafishia malai Bikabonati ya soda — nyunyuzia kwa zulia kabla ya kuvuta vumbi ili kutoa harufu 26

Vidokezo Vyema kwa Wapangaji: Ni wazo nzuri kuzungumza na mpangishaji/ajenti wako KWANZA ili ujaribu na kurekebisha shida zozote kabla haujampa Ilani ya Suluhisho la Ukiukaji (Fomu ya 11)

39

Shida unazowezapata wakati wa upangaji . . .

Utunzaji wa nyumba yako ndani na nje …… Sebule na Chumba cha Kulia . . .

Kunaweza kuwa na shida wakati wa upangaji ikiwa kwa mfano: Wewe . . . ⇒ ⇒

umechelewa kulipa kodi haujakata nyasi na nyasi ni kubwa sana

Mpangishaji . . . anakuja kwa nyumba yako bila kukupatia ilani iliyoandikwa ⇒ hatengenezi kitu baada ya kumuuliza mara kwa mara ⇒

Vidokezo vya usafishaji na utunzaji . . . Vitu kama hivi vikifanyika . . .

⇒ ⇒

Wewe au mpangishaji anaweza: ⇒

kuzungumziana na kujaribu kupata maelewano kumpatia mtu yule mwingine Ilani ya Kusuluhisha Ukiukaji (Fomu ya 11) ⇒ kuweka Azimio la Mzozo (Fomu ya 16) kwa RTA na uone kama wanaweza kukusaidia wewe na mpangishaji kutatua shida yako ⇒ ⇒

Vidokezo Vyema kwa Wapangaji: Ukipokea Ilani ya Kuondoka au Suluhisho la Ukiukaji, zungumza na mpangishaji/ajenti—unaweza kuzungumza na RTA au TAAS ili kuona kwamba umepewa kiwango sawa cha ilani 38

⇒ ⇒ ⇒

weka vitu mbali ukishavitumia Safisha madirisha na milango ya kuteleza ukitumia nadhifishaji ya glasi (kwa mg’aro zaidi – panguza madirisha ukitumia gazeti uliokunjana) Panguza umwagikaji kwenye zulia mara tu unapotendeka – inaweza kuzuia uchafu Kivuta vumbi Jaribu kuvuta vumbi kutoka kwa zulia angalau mara moja kwa wiki Safisha kuta kwa kutumia kifaa cha kusafisha malai au umaji uliopendekezwa (mfano sabuni ya sukari) Safisha madirisha na mlango wa kuteleza kwa kutumia brashi iliyozeeka na kukauka na kisha upanguze kwa kutumia brashi ya kupaka rangi. Vidokezo Vyema kwa Wapangaji: Uvutaji wa vumbi kwa zuli mara kwa mara hupunguza27 vumbi na uchafu

Utunzaji wa nyumba yako ndani na nje . . Chumba cha kulala ...

Inaendelea: Uchunguzi wa nyumba KUJITAYARISHA KWA UCHUNGUZI WA NYUMBA Safisha nyumba (nyumba yako) NDANI... ⇒Jikoni (mfano: Juu ya stovu na oveni) ⇒Sakafu Zote ⇒Zulia Zote ⇒Kuta Zote ⇒Kabati Zote ⇒Bafu ⇒Hodhi ⇒Vyumba vya kulala ⇒Chukua na uviweke mbali nguo kwenye

Feni ya paa

Kitanda

kabati

Safisha nyumba (nyumba yako) NJE... ⇒Pipa la taka lenye magurudumu (kila wakati funga mabaki

kabla ya kuweka kwenye taka)

Meza na Taa

⇒Kata Nyasi ⇒Kata Bustani ⇒Safisha Madirisha

 NDIYO

Kiti

Vidokezo Vyema kwa Wapangaji: Osha na ubadilishe matandiko na foronya kila wiki 28

 HAPANA

37

ANAYERUHUSIWA KUINGIA; ASIYERUHUSIWA KUINGIA KUCHUNGUZA NYUMBA?

Utunzaji wa nyumba yako ndani na nje . . Jikoni ..

Mruhusu... ⇒Mtu

unayemjua AU

⇒Mtu

anayekuonyesha kitambulisho sahihi (mfano: amevaa tepe au anakuonyesha kadi ya biashara)

Usimruhusu... ⇒Mtu

ambaye hawezi kujitambulisha

⇒Mtu

ambaye hajakupatia Ilani ya Kuingia (unaweza kumruhusu mtu aingie bila Ilani ya Kuingia ikiwa TU umekubali)

Kila wakati ANGALIA... 1. 2.

Aliyeandikwa kwenye Ilani ya Kuingiai (Fomu ya 9) kufanya uchunguzi wa nyumba? Mahali mtu huyo ametoka?

Vidokezo vya usafishaji na utunzaji . . . ⇒ ⇒ ⇒ ⇒ ⇒

Vidokezo Vyema kwa Wapangaji: Kama haujui aliye mlangoni mwako, unaweza sema,‘Tafadhali Jina lako nani?’ “Unatoka wapi?" 36

Jaribu kuweka jiko lako safi na nadhifu kila siku Osha na uweke vitu mbali ukisha vitumia Osha kuta toka chini hadi juu Fagia na uoshe sakafu kila wakati ili uchafu usikwame Piga deki sakafu ya kigae na bidhaa iliyopendekezwa ya kusafisha vigae (USITUMIE bidhaa kwa vigae ambazo hazijapendekezwa kwa kusafisha sakafu ya mbao)

Vidokezo Vyema kwa Wapangaji: DAIMA weka chakula mbali ili isiwavutie SIAFU, MENDE na PANYA

29

Uchunguzi wa nyumba . . . NI FOMU GANI UTAKAYOPOKEA? ⇒

Ilani ya Kuingia (Fomu ya 9).

Wimbi maikro friji

Jiko

ITASEMA NINI? Chano ya uokaji Chombo cha kuchomea tosti

Chungu cha kupikia



Tarehe ya uchunguzi



Nani atakayekuwa akifanya uchunguzi



Mahali mtu huyo anatoka

Jagi ya stima

Vidokezo vya usafishaji na utunzaji . . .

ILANI ITAKAYOTOLEWA?

Viti vya jikoni — kifaa cha kusafisha kitu chochote, kifaa cha kusafisha malai



Uchunguzi wa Nyumba — ilani ya siku 7



Ukarabati wa utunzaji — ilani ya masaa 24

Jiko/vifaa vya kupika — kifaa cha kusafisha malai, kifaa cha kusafisha kitu chochote Jiko/oveni — kifaa cha kusafisha oveni, kifaa cha kusafisha kitu chochote, dawa kali ya kusafisha iliyochanganywa na maji

Vidokezo Vyema kwa Wapangaji: Unapaswa kupokea Ilani ya Kuingia ya uchunguzi wa nyumba siku 7 kabla ya uchunguzi

Vyombo vya jikoni (mfano sahani, vikombe, sosi, vyombo) — dawa kali ya kusafisha 30

35

Utunzaji wa nyumba yako ndani na nje . . Nje ya nyumba

Utunzaji wa nyumba yako ndani na nje ……… Bafu ...

Pipa la taka lenye Magurudumu … KILA WAKATI funga au uweke mabaki ya jikoni ndani ya kikapu KABLA ya kuweka ndani ya Pipa la takataka lenye magurudumu.

Vidokezo vya usafishaji na utunzaji

Pipa la taka

Pipa la kuchakata

Vidokezo Vyema kwa Wapangaji: Muulize mpangishaji/ajenti wako ni lini unahitaji kuweka pipa la taka lenye magurudumu na pipa la kuchakata nje ili itolewe. 34

Kikoba cha vipodozi — kifaa cha kusafisha malai, kifaa cha kusafisha kitu chochote Vioo — kinadhifishaji glasi Kioo cha bafu/glasi— kinadhifishaji glasi Kuvu — pausha Choo — safisha mara kwa mara kwa kutumia brashi ya choo na utumie kifaa cha kusafisha malai, kipukusi, kisafisha choo Sakafu ya kigae — bidhaa iliyopendekezwa kusafisha vigae (USITUMIE bidhaa kwa vigae ambayo imependekezwa kusafisha sakafu ya mbao) Bafu — kifaa cha kusafisha malai, kifaa cha kusafisha kitu chochote Bafu ya manyunyu — kifaa cha kusafisha malai, kifaa cha kusafisha kitu chochote Vidokezo Vyema kwa Wapangaji: 31 Bikabonati ya soda—ikinyunyuziwa kwa kitambaa chenye unyevu, inaweza kutumika badala ya kifaa cha kusafishia malai.

Utunzaji wa nyumba yako ndani na nje . . Udobi . . .

Utunzaji wa nyumba yako ndani na nje . . NJE ya nyumba

 NDIYO

Maua

 HAPANA

Vidokezo vya Kutunzaji nje Wasiliana na mpangishaji wako ili uone kama ni jukumu lako la kuangalia bustani na kukata nyasi Kama ni jukumu lako la kukata nyasi na huna mashine ya kukata nyasi, angalia kama unaweza kuomba moja kutoka kwa rafiki



Mashine ya kufua na Kikaushaji



Mundu

Vidokezo vya usafishaji na utunzaji . . . Mashine ya kukata nyasi

Nguo — poda ya kufua/umaji na kifaa cha kufanya nguo nyepesi ⇒ Tumia TU kiwango kilichopendekezwa cha poda/umaji

wa kufua kwa kufua nguo zako

Vidokezo Vyema kwa Wapangaji: Ikiwa una kikausha nguo, safisha chujio yanyuzi za pamba

Mti

32

Torolli

Vidokezo Vyema kwa Wapangaji: Inaweza kuwa rahisi kumkomboa mtu akate nyasi kila wiki 4-6. Kituo chako cha jamii cha mtaani kinaweza kujua mtu anayeweza kukusaidia na suala hili. 33

Related Documents