Nuru

  • June 2020
  • PDF

This document was uploaded by user and they confirmed that they have the permission to share it. If you are author or own the copyright of this book, please report to us by using this DMCA report form. Report DMCA


Overview

Download & View Nuru as PDF for free.

More details

  • Words: 182
  • Pages: 3
Historia ya maisha yangu

Asante mungu kwa kunifikisha hapa nilipofikia.kunipa wazazi wenye kunipenda na kunitunza mpaka hapa nilipo fikia maana ni safari ndefu ya maisha yangu. Ni wewe wa kupewa sifa na utukufu. Safari ya maisha yangu ni ndefu sana.na mshukuru pia mama na baba kunipa moyo pale ninapokata tamaa na kuniambia nisonge mbele.maana bila wao ningekuwa nipo sehemu ambayo siyo nzuri kwa msichana wa karne hii.

Sito kuja kusahau nilipofelishwa mitihani ya kuingia kidato cha nne kwasababu ya tamaa ya kimwili ya mwalimu wangu wa darasa na kupelekea kutaka kujitoa uhai wangu kwasababu katika maisha yangu sipendi kufanya kitu pasipo na malengo kwani nilijiwekea malengo yangu tayari na kujuwa mnamo mwaka 2005 ningemaliza elimu yangu ya kidato cha nne.ila nimemsamehe hapa hadi kwa mungu mbinguni. Lakini mpaka sasa namshukuru mungu kani malengo niliyojiwekea katika elimu kidogo nimeyafikia.namshukuru mungu sana pamoja na wazazi wangu.hii ndiyo story ya maisha yangu

NO 1 2

NAME MOUSE KEYBOARD

PRICE 25000 63200

PRODUCT N/S GY5265M LOP 1452YB

ALL IN ALL NAWAPENDA SANA WAZAZI WANGU MUNGU AWAPE MAISHA MAREFU.

Historia ya maisha yangu

Historia ya maisha yangu

Related Documents

Nuru
June 2020 3
Tugas Nuru Manajemen.docx
December 2019 15