Bongo Finest Senta

  • November 2019
  • PDF

This document was uploaded by user and they confirmed that they have the permission to share it. If you are author or own the copyright of this book, please report to us by using this DMCA report form. Report DMCA


Overview

Download & View Bongo Finest Senta as PDF for free.

More details

  • Words: 158
  • Pages: 1
bongo finest queen ni moto! kama tulivyowaeleza kuwa kwa sasa tumeamua kupeleka nguvu zetu katika kumuinua mwanamke kwenye nyanja ya sanaa hususani fani ya muziki bongo flava. kwa kuwa tumeamua kupata jina la kila msanii wa kike mwenye uwezo katika fani hiyo bila kujali ni staa ama chipukizi, tukizingatia tu ule uwezo wake kwenye fani hiyo. sio utani, tumedhamiria kutoa 'tafu' kwao lakini endapo wewe msomaji utaamua kushiriki kikamilifu katika changamoto hii kwa kututumia jina la msanii wa kike unayeona anatingisha kwenye anga za muziki huo nchini. weka jicho lako katika televisheni yako, sikiliza redio yako na uende katika matamasha mbalimbali kisha tutumie jina la mwanadada unayeona anatingisha katika bongo fleva kwa namba 0784 727 375 au 0784 734 463, vilevile waweza kutuma kwa waraka pepe, [email protected] na [email protected]. asante sana kwa wale waliotutumia majina ya wasanii wanaoamini ni wakali, tunayo majina mliyotutumia na bado tunaendelea kukusanya majina na maoni yenu zaidi! wanawake wanaweza bwana, kama huamini, subiri!

Related Documents

Bongo Finest Senta
November 2019 4
Bongo Intro Escarcha.pdf
November 2019 2
Finest French Cuisine
October 2019 7
Plane Vanilla - Bongo Medley
November 2019 19
The Finest Bead Embroidery
November 2019 14