Kali

  • July 2020
  • PDF

This document was uploaded by user and they confirmed that they have the permission to share it. If you are author or own the copyright of this book, please report to us by using this DMCA report form. Report DMCA


Overview

Download & View Kali as PDF for free.

More details

  • Words: 236
  • Pages: 1
KALI can someone come up with the chorus? nani kasema mwenye akili anakuwa nduli, can someone suggests the means? of what, maisha akili, kichwani, na si kamali, hakuna mashaka unapokubali, maisha tumia akili, kama unachofanya hakina dili, mwanzo, kupona akili, hakuna Mungu wa dili, ukifikiri, hivyo wewe ni boya, tafakari, ukimwomba anakupa kwake shwari, kubali, jali, ushindani maishani, sometimes usawa bahari, unakanyaga mafuta kimentali, hapo fungua johari, ukiwa makini mambo shwari, jongea kwa God piga goti Sali, naamini akili, itazidi makali, twaona kila leo kila mahari, unagonga wali, ugali, na kachumbari, waya mkali, unadai msosi mzuri, unaona heri, ukungu umetanda huoni mbali, ukipewa ukweli mkali, unakaa mjini hauna dili, rudi nyumbani maskani unakuwa nduli, korokoroni, sadali, unaota mchana zali, la mentali, New York haiko mbali, can someone come up with the chorus? nani kasema mwenye akili anakuwa nduli, can someone suggests the means? of what, maisha akili, kichwani, na si kamali, una maisha, ya kubahatisha, kisha unajisahau unakula bata unajirusha, inastusha na inatisha, inachekesha, mwingine amejikita kwenye muziki, hasikiki, anapigwa na ziki, mashairi hayana vina hayauziki, sikiliziki, hayatamaniki, akili nati, mwenyewe una ziki, wapi mzuri muziki, utatoka kwenye kichwa chenye ziki hubadiliki, hutaki ushauri maridadi, wengine wanasubiri ahadi, mjini miadi, ilimradi, abaki kwenye chati ya ufisadi, hebu tazama fikiri, kila jambo lina pande mbili, waya mkali la pili shwari, hauwezi jua kama hautafakari, haufikiri, hukubali, ushauri, acha maweed, mjini rudi, upate akili, maisha yatakufanya sigara kali,

Related Documents

Kali Kali
April 2020 20
Kali
June 2020 21
Kali
July 2020 16
Kali
June 2020 23
Kali Mod.docx
December 2019 23
Kali Kotor.docx
July 2020 16